Natafuta mke wa pili

Natafuta mke wa pili

Naona unataka kulea katoto! Sasa miaka 20 atakuwa kashamaliza shule na kazi juu?
yawezekana, wapo wenye umri huo waliomaliza shule na pia wakawa na kazi. Ni wengi, tatizo lako unafikiria kuwa ni lazima awe na elimu ya Juu, kwangu hiyo ni immaterial.
 
Mkuu kwa kipato chako huwezi pata binti wa vigezo vyako, ivo vigezo wanahitaji kipato zaidi ya icho. tafuta tu mkubwa mwenzako mmalizie ujana.
Pendekeza umri amabo unaona unafaa, am flexible. niliye naye sasa ana 30
 
yawezekana beib rubii, lakini si mbaya kuwa na mwenzako wa kusaidia mawazo na pia kutimiza nae amri ya Allah. Wawili ni bora kuliko mmoja.

Sawa beiby mlete tu mwenzangu aje naheri zake.
 
Sawa beiby mlete tu mwenzangu aje naheri zake.
Mashaallah, si mbaya ukafanya juhudi za kunisaidia kumtafuta utakayempenda na kushirikiana naye. Mwenye iman ya dhati juu ya Allah kama wewe ni bora zaidi.
 
Tulia na uliyenae sasa ivi wanawake wazima waameanza kuwa adimu utafanya watu watembee na mkeo.
Kila mtu anauamuzi wake, i dont need your instructions. Kama ukiona vipi pita tu.
 
Aisee mkuu!
Mabinti wa siku hizi wana wivu sana
Ila kwa kua umetaja hicho kipato cha 2mill hawajali hata wangejua anakua mke wa4
Anyway nikutakie kila la kheri na Mungu akufanyie wepesi!
 
Chiwaso;
Are u serious?? Isijekuwa unatughilib akili tu hapo. Dunia ya leo karne hii ya 21 kuna mtu kweli anathubutu kumtafuta mwanamke wa pili!!!! Huyu mmoja tu kanishinda kumtimizia mahitaj yake sembuse wawili??
Mke si mleta ni mletewa. Akiweza tu kununua kibiriti, piga ua, kishajiona boss ndani ya nyumba. Hata kama kailimishwa kivipi na maudhui mema kapewa vipi, huwezi mwambia lolote akuskie. Tena wasema wa pili. Dah! Kaka umeumia. Tena Kigholi miaka 20 mwenye kipato chake!! Naota au ndo ukweli?? Atakuwa na shida gani jamani, Tena mwenye kipato chake kizuri, tena atii mwenye figure 8. Kwako afuate kuzaa tu, Huku akipimiwa siku na saa ya kuwa nawe, na akijazaa tena alelee mtoto kwa fweza yake. Jamaniii
Haya bannaa huenda mwenzetu una mbinu flan umeshazitumia kumzughisha huyo bint wataka tu kuhalalisha.
 
Hi wanaboard.

Hope mnaendelea vyema.Japo ni gumu kuleta ombi hili mbele ya JF lakini wacha nilitoe.
Natafuta Mke wa Pili wa Kuoa ili niweze kutimiza maamrisho ya Imani yangu ya uadilifu.

(Quran 4:3)

...oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana.

Am Tazanian Muslim, 40yrs of an age. Mimi nina kipato changu cha wastani wa 2mil. kwa mwezi.
Nshapima UKIMWI, sina(Alhamdullillah)

Mke huyo awe Muislamu mwenye umri usiozidi miaka 20(Sunna), mzuri(napenda mweupe, figure namba 8, urf around ft 6 ivi), awe mfanyakazi/mfanyabishara na awe tayari kupima UKIMWI na maradhi mengine ambukizi
Kwa huo mshahara utaweza kuwamudu wake wawili?
 
Mkuu,
Soma thread yake. Anasema, Huyo bibie awe na kipato, Mshahara au biashara halali yenye kipato ili wasaidiane. 2 mill zake ni zake
Nimesoma lakini kwenye ndoa hizi za kiswahili mambo hayaendi hivyo hata kama mkiwekeana mkataba ni LAZIMA Mke akulalie kwenye masuala ya finance.
 
Chiwaso;
Are u serious?? Isijekuwa unatughilib akili tu hapo. Dunia ya leo karne hii ya 21 kuna mtu kweli anathubutu kumtafuta mwanamke wa pili!!!! Huyu mmoja tu kanishinda kumtimizia mahitaj yake sembuse wawili??
Mke si mleta ni mletewa. Akiweza tu kununua kibiriti, piga ua, kishajiona boss ndani ya nyumba. Hata kama kailimishwa kivipi na maudhui mema kapewa vipi, huwezi mwambia lolote akuskie. Tena wasema wa pili. Dah! Kaka umeumia. Tena Kigholi miaka 20 mwenye kipato chake!! Naota au ndo ukweli?? Atakuwa na shida gani jamani, Tena mwenye kipato chake kizuri, tena atii mwenye figure 8. Kwako afuate kuzaa tu, Huku akipimiwa siku na saa ya kuwa nawe, na akijazaa tena alelee mtoto kwa fweza yake. Jamaniii
Haya bannaa huenda mwenzetu una mbinu flan umeshazitumia kumzughisha huyo bint wataka tu kuhalalisha.
Wapo sheikh wangu, hasa wale wenye mapenzi na Allah, wale wanaojua kuwa kuingia kwenye ndoa ya aina hii ni ibada kubwa sana. Wao na wewe mtayafanya yote kwa mapenzi ya Allah, hakuna kupasuana kichwa. Mbona Mtume wetu Muhammad (SAW) aliweza, mbona kuna wengi tu wameweza. Babu yangu alikuwa na wake wawili ambao aliishi nao kufa na kuzikana, hivyo hivyo kwa baba yangu.
Last year sikuwa tayari, ila kuna Bint/Mdada mzuri sana mwenye iman thabiti, mweney kazi yake aliniomba sana awe mke wangu wangu wa pili, tatizo kw sababu sikuwa tayari kwa hilo nilishindwa. This year niko tayari, na Inshallah ninaamini Allah atatia baraka zake ntampata.
 
Miye kaka sishangai hata kidogo. Yaweza kuwa hivyo ila Chiwaso naomba tu nikupe kaushauri. Sijui umri wako, ila jaribu fanya ,ahesabu haya:
Tuseme weye ni 49 yrs, uoe mwaka huu. Mola akijalia mtoto wa kwanza utampata 2017. Ili huyu mtoto wako aweze kumaliza chuo kikuu ni miaka 25 ijayo. Weye utakuwa na miaka 50 + 25= 75yrs.
Utampa msaada gani wa kuanzia maisha hata awe stable kama weye ulivyo??
Swali la pili;
Huyu ni mke wa pili. Je, wa kwanza mna watoto wangapi naye? Huyu wa pili naye mtatotoa wangapi?? Dunia la leo sio lile la babu yako, ni dunia la kuchacharika ndo ule.
Je, unataka kutuletea wale panya road?? Unataka kuwapeleka watoto wako Uwanja wa fisi?? Nadhani utaniambia kuwa utawalea kistaarab, sawa kaka lakini, mahitaji ya leo si nguo na ugali. Ni Elim dunia zaidi.
Sitaki kubishana na haswa kubishania dini ila, nakusihi, usikiache kitab cha Mola wako kikupite, ila, Mola huyo huyo aliujua wakati huu ndo maana katupa akili na maarifa tusijelia baadaye. Inshallah natamani Allah akujalie wazo zuri katika kuamua hili. Sidhani kama upo tiyari kwa mke wa pili. Mwongezee raha huyo wa kwanza nawe utaifurahiya hiyo nyumba yako
 
Mweney kipato ni bora ili tusaidiane maisha, ni kama vile mama yetu Bi hadija(RA) alikvyokuwa msaada mkubwa kwa Mtume Muhammad(SAW).
kila la kheri kaka kumpata mwenye kipato si mbaya,Mtume (s.a.w) alishatuambia kipato sawa yaweza kuwa sababu yako ya kumuoa mke ila kasisitiza sana kwenye imani
Na pia usiyasahau haya maneno ya Mtume (s.a.w) "Mtu yeyote yule anaemuoa mke sababu tu ya pesa zake,Mungu hatomzidishia chochote isipokuwa ufukara"
 
Mweupe. Figure namba nane. Mrembo. 20yrs. Independent.

Aolewe mke wa pili na a 40yr old who makes 2million.

Goodluck.
 
Back
Top Bottom