Natafuta mke wa kuoa

Wewe ci umeshaelewa au?

Sasa kama unaomba msaada halafu hutaki kutujibu, kwa nini umeleta uzi kwenye public forum? Ungekutana na mmoja wao ukampa barua mkamalizana.

Unapokataa kunijibu, una hakika gani kwamba mjukuu wangu mmoja haweza kukufaaa?
 
Acha zako kama Uzi haukufai au kukuhisu kula kona!
 
Nenda kijijini kwenu wa humu utapata BP bure utampata used zaidi U weema Chepe
 
Uandishi wako umenikumbusha demu wangu mmoja alikuwa anaandika kama wewe "towa badala ya toa, owa badala oa" ambae niliamua kumpiga chini kutokana na kutokujua kwake kuandika vizuri.
 
Huu we ci umeelewa kama Uzi haukuhusu kula kona kwanza Wewe ni mwanaune au na wewe unataka kuolewa nini mkuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…