Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

cangeofrey

Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
15
Reaction score
0
Mimi naitwa Can Geofrey nina umri wa miaka 32, natafuta mke wa kuoa awe mzuri wa sura na mwenye tabia nzuri, mkiristo, mwenye umri miaka 18~27, kabila lolote, taifa lolote, elimu yoyote sibagui.

Alietayari ani pm
 
mwanamke mzur kwako anatakiwa awe je?na tabia je? na wew ni mzur?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom