Natafuta Mke Wa Kuoa

Natafuta Mke Wa Kuoa

KAJOBO

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
408
Reaction score
350
Mimi Ni Kijana Mwenye Umri Wa Miaka 25.

Natafuta msichana ambae tutafunga nae ndoa.

Vigezo; Awe Na Umri Wa Miaka 18~23.

Awe Na Tabia Nzuri
 
mh mke hapa? All the best!
 
Nakushauri usubiri ukue kidogo ili umuoe mwenye umri mkubwa mwenye uzoefu wa kutosha wa maisha miaka 18 - 25 bado akili za kitoto na uzoefu wa maisha bado akipata shida kidogo atakukimbia na kuchukuliwa na vijana wa kihuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom