Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

TheBuilder

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
237
Reaction score
212
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28, sijawai kuoa wala sina mtoto. Nina urefu wa 5.4' and 60kgs, nakunywa pombe ila sivuti sigara.

Nimtafutaye:

1. Awe amepevuka akili kwa maana kwamba anajua majukumu yake kwenye ndoa.

2. Awe na elimu kuanzi form 4 na kuendelea, asiwe mvivu wa kujiendeleza kielimu.

3. Umri usizidi miaka 24-26, awe na shape ya kike hasa kajungu kanahusika.

4. Mkristo atapewa kipaumbele, kama huko interested ni PM.
 
We ni husband material nimekuona kabisa
dah basi tu mie ila...
 
Kweli hii mitandao inawasaidia madomo zege..
 
Kweli hii mitandao inawasaidia madomo zege..

hahaha!!sio kwel jmn..kila kitu kinapangwa huwez jua mwez wako mtakutana ktk mazingira gan though hawa wa hku JF dah ni ngum kumjua who is the right 1!
 
Kila la heri msanifu wa majengo,jitahid umpate aliye sahihi asijekuwa msumbufu ukatuwekea jengo la kuanguka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ndio maana wachina wanauza dawa za kuongeza hivyo vijungu; maana wakati mwingine unaweza kukosa mtu kisa huna kijungu..... loh dunia msongamano
 
Ndio maana wachina wanauza dawa za kuongeza hivyo vijungu; maana wakati mwingine unaweza kukosa mtu kisa huna kijungu..... loh dunia msongamano

hahaaaa! huu ndio ugonjwa wao kumbee!!! mchina oyeeee
 
Ndio maana wachina wanauza dawa za kuongeza hivyo vijungu; maana wakati mwingine unaweza kukosa mtu kisa huna kijungu..... loh dunia msongamano

Ni vizuri kuwa mkweli kajungu nakapenda, (natural) achana na mchina.
 
Kuna kitu muhimu nilikisahau, sinywi pombe wala kuvuta sigara. Kwa maana hiyo ninayemtafuta asiwe mtumia kilevi, nime edit post yangu ya kwanza. Samahani kwa wale tuliokwisha wasiliana maana unaweza kukwazika kwa hili.
 
nauza samaki wa kufuga aina
tofauti na ntakeletea mpaka
ulipo kwa bei nafuu


gapi pea
5000


red pea
10000


gold pea
10000


gold wakubwa 30000

gulam 20000


Picha
zinapatikana whats app
0712505049 nipo

dar

nb.hawa ni samaki wa
mapambo wa maji baridi yaani
maji amabayo sio ya baharini
ni maji unayotumia nyumbani
natoa elimu juu ya
kuwahifadhi wanaweza kukaa hadi miaka mitano na
wanazaliana katika kipindi
chote hiko hivyo unanunua
mara moja tu baadae wanazaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom