Farudume12
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 621
- 346
Nime jenga, naishi kwangu, kwailo usiwe na wasiwasi. Nina Nyumba tegeta.haaahahhaaahah awe amejenga VIP wewe una nyumba ngapi?
sasa unaitaji nyumba nyingine ya nini?Nime jenga, naishi kwangu, kwailo usiwe na wasiwasi. Nina Nyumba tegeta.
Naona vigezo na masharti kuzingatiwa jamaniAbari zenu bandugu... heri ya mwaka mpya kwenu woote. Nilipenda kuwashirikisha haya labda naweza nikabahati. Namtafuta mwanamke yeyote ambae labda kachelewa kuolewa ao aliwai kuolewa akaachika. vigezo miaka kuanzia 25 awe tayari amejenga NYUMBA yake binafsi, awe nakazi nzuri, kaajiriwa ao amejiajiri, awena Mtoto 1, awena elimu isiopungia form4, awe mcha Mungu... uzuri wauso, shepu nzuri siangalii... Umri asizidi miaka 45 na mwisho kabisa awetayari kunizalia watoto zaidi yawa 2. mimi nimeajiriwa Vodacom Nina miaka 32, Nina Mtoto 1, kwayule ambae yupo tayari anaweza akani pm, ilituyajenge vizuri. Karibuni
Hamna sio ubaguzi mkuu, Bali ninjia yakutafuta maendeleo.wazo zuri,awe na yake coz hiyo umemjengea mwanao.Ubaguzi mapemaaaaa
Kama vigezo vingine umekamilika, nakweli unamaanisha sawa hamna shida. Tuyajenge mapema.mimi nimepanga nakufaa?
Hongera umeanza kwa moto mkali juzijuzi tumekukaribishaWanaume wengine banaa, endelea kutafuta hivoivo, huyo aliyejenga hadi Yesu arudi! Hii ni dalili ya uchoyo! Nyumba si ushajenga, sasa kwanini msiishi wote! Mbombo jilipo mwe
Pole sana sijaanza kuingia humu juzi! Halafu ukijiunga humu jf hutakiwi kutoa ushauri au? Punguza mapovu mkuu!Hongera umeanza kwa moto mkali juzijuzi tumekukaribisha
Mh ! Biboo we c majuz ulikuwa unasema hodi hodiPole sana sijaanza kuingia humu juzi! Halafu ukijiunga humu jf hutakiwi kutoa ushauri au? Punguza mapovu mkuu!
Inahuu!Mh ! Biboo we c majuz ulikuwa unasema hodi hodiLeo unachamba duuh !!
Acha hizo banaa sijachamba nimeshauri tuuumenichekesha yaani hunahata wiki lakini machambo ya hapo
Hamna usihofu c unajua najaribu kuchat kablA mwaka haujaisha kama VP heri ya mwaka mpyaAcha hizo banaa sijachamba nimeshauri tuu