Natafuta mke serious for marriage

Natafuta mke serious for marriage

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,635
Habarini wakuu.
Natafuta mchumba
Sifa zangu age 30, mrefu,christinity.

Sifa za mke nayetaka age below 30,Christianity,minimum Education- first degree,awe na vision,awe Mjasiriamali au mwajiriwa.

Kama kuna bibie anafeet hapo ni PM.welcome
 
kila la heri. halafu muda uliopost hii thread usingz ulipaa nini mkuu?
 
hahahah unatafuta msomi,mjasiriamali na mjanja wa muji hahh utampata alll the besiti
 
Hahahaaa kama wanawake Bora kwa ajili ya ndoa wangepatikana kirahisi hivi na mimi ningeoa hata kesho..

Mwanamke Bora kwa ajili ya ndoa sio kama pipi ndugu.

Utachukua ubavu usio wako ohooo!! Shauri yako.
 
Habarini wakuu.
Natafuta mchumba
Sifa zangu age 30, mrefu,christinity.

Sifa za mke nayetaka age below 30,Christianity,minimum Education- first degree,awe na vision,awe Mjasiriamali au mwajiriwa.

Kama kuna bibie anafeet hapo ni PM.welcome

Ukiwa na hamu ya kugegeda hafu hafu domo lako limewekewa gundi ni balaa utajikuta unaandika chochote ooh nataka kuoa sema unataka demu wa kugegeda mizuka imepanda
 
sasa mke sio ndugu yangu utampata humu kweli??
 
wake wa humu hawako serious wako ki_jf jf tu bora urud mtaan kwenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom