fortuneless
Member
- Jun 8, 2016
- 95
- 49
Hata mimi ningependa iwe hivyo maisha ya Kizamani ya Kuoa mbumbu lisilo na Kipato toto la kizaramo lililoacha shule Darasa la nne kazi siko tayari hata mimi kukaa na mwanamke wa aina hiyo maisha ni Kusaidiana............19- 24yrs hawa bado ni mabinti wadogo sana kiumri '. Sidhani kama wapo desperate mpaka kutafuta wanaume mitandaoni .
Kigezo cha ajira,' umeonyesha udhaifu mkubwa sana/uwoga wa maisha . Pole sana.
Surely Yuko sawa maisha ya siku hizi ni Kusaidiana kama ulikosea pole sana mimi mwenyewe nimeoa mwalimu!Sababu isiyokuwa na maana kabisaa et unaamka saa 11 unarudi saa 1, unataka wanawake kwenye uhakika wa kipato, hupaswi kutegemea kipato cha mwanamke katika mahusiano hata kidogo
Mkuu inaonekana unaishi maisha ya Kizamani sana ya Kuchukua mke kijijini (Goalkeepers) Life ime change sana jukumu la mwanamke siyo kukusubiri wewe mdau yuko sahihi na labda akimpata atamueleza sababu zake maisha ni Kusaidiana.Why Nesi au mwalimu?
Unataka mshara wake wa Laki 4?
Mura huo ni uoga na ukwepaji wa majukumu!
Unahisi ajira yake IPO tu!
Kama unatafuta mke wewe taja sifa na vigezo vingine ila sio kazi yake!
Coz kama ni hivyo mfungulie yoyote ambae sio Ticha wa Nesi
Hata kijiduka tu alafu kiboreshe
Uone kama hataingiza na yeye hizo Laki 4 kwa mwezi!
Ndugu yangu, Hilo ndiyo kosa la kwanza unalifanya katika safari yako ya kutafuta mwenza.Natijokeza kwa mara ya kwanza wana JF mimi ni Mwanaume mwenye Umri wa miaka 27 ni Muhasibu natafuta mchumba ambaye atakua mke wangu vigezo awe mwalimu au Nurse Umri ni Kuanzia miaka 19-24 Rangi yoyote asiwe mfupi sana, Kabila lolote, hata dini yoyote I am ready to change nikimpenda.
Ambaye yuko serious please don't hesitate Pm me so as we can make appointment huwa niko Comfortable zaidi nikionana na mtu face to face na kumueleza shida yangu.
Pia yale mambo ya mtaani kwenu haujaona mwanamke its true i always work up 5:30am returning home 7pm so nawaasa hasa wachangiaji usije ukiharibu uzi huu jiandae kisaikolojia.
Kwahiyo ambao hawajaoa mwalimu au manesi wamekosea?Surely Yuko sawa maisha ya siku hizi ni Kusaidiana kama ulikosea pole sana mimi mwenyewe nimeoa mwalimu!
Mkuu penye watu weng kuna mengi. Km mtu aliyekomaa kiakili huwa yupo tayar kuvumilia iwe pumba. Busara yako itakuonyesha ww ni mtu wa namna gani.Natijokeza kwa mara ya kwanza wana JF mimi ni Mwanaume mwenye Umri wa miaka 27 ni Muhasibu natafuta mchumba ambaye atakua mke wangu vigezo awe mwalimu au Nurse Umri ni Kuanzia miaka 19-24 Rangi yoyote asiwe mfupi sana, Kabila lolote, hata dini yoyote I am ready to change nikimpenda.
Ambaye yuko serious please don't hesitate Pm me so as we can make appointment huwa niko Comfortable zaidi nikionana na mtu face to face na kumueleza shida yangu.
Pia yale mambo ya mtaani kwenu haujaona mwanamke its true i always work up 5:30am returning home 7pm so nawaasa hasa wachangiaji usije ukiharibu uzi huu jiandae kisaikolojia.
Sio ya kizaman mkuu watu tunapishana haiba mwanamke ni mwanamke tu asiwe na kaz au hana ili mradi ana match na ww. Unaweza kumchukua asiye na kaz ukampa mtaji na life likasonga tena vizuri.Mkuu inaonekana unaishi maisha ya Kizamani sana ya Kuchukua mke kijijini (Goalkeepers) Life ime change sana jukumu la mwanamke siyo kukusubiri wewe mdau yuko sahihi na labda akimpata atamueleza sababu zake maisha ni Kusaidiana.