Natafuta mke(nipo very serious very serious)

Natafuta mke(nipo very serious very serious)

7ya

Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
43
Reaction score
0
Ndg wana JF,

Habari za jioni!

Kama ilivyo title hapo juu. Kwa kunifahamu zaidi nina umri wa miaka 21, ni mmasai, nina shahada ya masomo ya sayansi (chem&maths) ni mkristu
kwa hayo machache yanawatosheni na kwa aliye tayari na mwenye malengo ya kuwa mke mwema anitafute kwa mawasiliano nitakayotoa.
 
Kwan nyie huwa mnachanganya makabila ? na nyie sio kwamba mnajitwalia tu yaan akupende asikupende ataolewa tu.
 
21 kweli kuna watu wanapenda stress...
 
Shule umesoma lini na maisha umeanza lini. Ushauri huko ulikosoma umewaacha huko ungebandika tangazo uliko soma ungefanya usaili mzuri tena ukiwa umetulia huku unapotea
 
Shahada ya sayansi katika kemia na hisabati ipo chuo gani mkuu.? Ni education katika hayo masomo au ndio hivyo hivyo kama ulivyoiandika!
 
Kule umasaini jando ni shule. Kujua aina mbalimbali za mizizi ya Dawa za tumbo, kuongeza nguvu za kiume na nyinginezo Hii ni shahada ya Kemia na kuhesabu mifugo yote ya boma na ile ya majirani na boma hii kule umasaini ni shahada ya mathematics) acha aoe tu mjini hapa wadada hawasuki tena rasta hana pa kulala huyo mmasai wa Dar
 
Kuanza mapema kuna faida yake, natumaini utapata mke mwema...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom