Naitwa Samweli
Naishi Moshi
Kabila Mchaga
Umri 35
Nina mtoto mmoja wa kiume umri miaka 7 namlea mwenyewe kwasbb mama yake alishafariki kwa ajali.
Nahitaji mwanamke atakaekua mke wangu atakaenipenda mimi na mwanangu pia.
Awe na umri 22-33
Mwenye hofu ya Mungu, na alie serious tujenge mahusiano na familia
KAMA YUPO MWANAMKE ALIE SERIOUS MWENYE UHITAJI ANI DM KARIBU SANA.
ASANTENI

.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Naishi Moshi
Kabila Mchaga
Umri 35
Nina mtoto mmoja wa kiume umri miaka 7 namlea mwenyewe kwasbb mama yake alishafariki kwa ajali.
Nahitaji mwanamke atakaekua mke wangu atakaenipenda mimi na mwanangu pia.
Awe na umri 22-33
Mwenye hofu ya Mungu, na alie serious tujenge mahusiano na familia
KAMA YUPO MWANAMKE ALIE SERIOUS MWENYE UHITAJI ANI DM KARIBU SANA.
ASANTENI

.Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app