Natafuta mke mwenye maumbukizi ya UKIMWI awe mtu mzima angalau awe na umri kuanzia miaka 40 na kuendelea mimi pia mtu mzima!mawasiliano ni sekenemboh@gmail.com au PM
Mungu na akapate kutimiza haja ya moyo wako....ila sidhani kama umetumia maneno sahihi kufikisha ujumbe wako...ingefaa kama ungeandika mwanamke anaeishi na VVU..siku hizi hatunaga UKIMWI kaka labda ujitakie mwenyewe kuupata huo UKIMWI wachache watenielewa.....lastly be positive and constructive usijihukum kw ahali uliyo nayo,....bado tunakuhitaji sana kwenye ujenz wa taifa hili na siku hizi watu wanaoana na kuzaa watoto bila VVU....karibu sna
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.