Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo

munyakwiringa

Member
Apr 14, 2015
65
8
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 36 natafuta Mke wa kuoa atakaye kuwa tayari kuishi na mimi katika hali zote. Awe tayari pia kuishi na mume nje ya dar es salaam, awe na umri kuanzia 32 mpaka 25 awe angalau anajua kusoma na kuandika idea ya maisha tutapeana na mambo yatabadilika taratibu kwani mafanikio si kitu huja kwa mbio za mwenge, awe mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu. Awe tayari kuolewa mwaka huu maana siamini katika mahusiano yakuchunguzana kama Takukuru mwenye sifa hizi aniPM nitamwona naawache namba zake kwa PM asanteni.
 
umri wote huoo kutongoza hujui unapenda vya mteremko ,,haya ngoja waje waliyo shindikana mitaaani kwetu
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 36 natafuta Mke wa kuoa atakaye kuwa tayari kuishi na mimi katika hali zote. Awe tayari pia kuishi na mume nje ya dar es salaam, awe na umri kuanzia 32 mpaka 25 awe angalau anajua kusoma na kuandika idea ya maisha tutapeana na mambo yatabadilika taratibu kwani mafanikio si kitu huja kwa mbio za mwenge, awe mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu. Awe tayari kuolewa mwaka huu maana siamini katika mahusiano yakuchunguzana kama Takukuru mwenye sifa hizi aniPM nitamwona naawache namba zake kwa PM asanteni.

Duuh...
 
Miaka 36, huna mwanamke, huna mke, nadhani huna hata mtoto, na mafanikio pia sifuri. Dah! pole sana, ulikuwa unafanya nini. Ila usivunjike moyo wamekusikia. Sasa ndugu kwa miaka hiyo mpaka uje kufanikiwa si ushaota mvi kila kona.
 
nj
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 36 natafuta Mke wa kuoa atakaye kuwa tayari kuishi na mimi katika hali zote. Awe tayari pia kuishi na mume nje ya dar es salaam, awe na umri kuanzia 32 mpaka 25 awe angalau anajua kusoma na kuandika idea ya maisha tutapeana na mambo yatabadilika taratibu kwani mafanikio si kitu huja kwa mbio za mwenge, awe mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu. Awe tayari kuolewa mwaka huu maana siamini katika mahusiano yakuchunguzana kama Takukuru mwenye sifa hizi aniPM nitamwona naawache namba zake kwa PM asanteni.
oo in box
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom