Natafuta mke mwenye mapenzi.

ALEIN

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
27
Reaction score
1
Nimekuwa wa kukimbiwa kutokana na uwezo nilionao wa kutema magoli mengi nitampata wapi wa kufanana nami?
 
Katfute kwenye madanguro!au mtandao wa Eskim! Wapo wengi
 
Nitakuwa wa mwisho kusadiki haya!

Jf raha tupu hakika!
 
We bado mdogo hujui magoli,mwanamke amekuwa kipa.
 
Hahahaaa.... Unajishaua usikute hayo magoli unapiga matano, halafu kila goli sekunde ishirini...! Mmmh..!
 
Nimekuwa wa kukimbiwa kutokana na uwezo nilionao wa kutema magoli mengi nitampata wapi wa kufanana nami?
sasa wafikiri kama unatema mengi nd atakukubali??
kwanza unajua sheria ya magoli wewe?? je magoli hayo unatema wewe ama yeye wanamke//

si kazi nyie ndo mnaofikirigi kwamba mwanamke hanaga kilele.
 
Kama huamini nikubari,nitakupa mabao 3 kwa mpigo kisha punziko kidogo nitaongeza 4 na zaidi mwenzio nakimbiwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…