Oh thank you.Kila la kheri mkuu
Naamini nitafanikiwa ndugu, sababu wapo pia mabinti wengi wenye sifa hizo na wapo tayari kuolewa. Nitaleta mrejesho.Kila la heri Mkuu usisahau kuleta mrejesho. Naamini utafanikiwa kupata huyo umtakaye ili mfunge pingu za maisha.
Mungu ata nisaidaSubiri mfungo wa ramadhan uishe sasaivi ufaingia Chaka maana kila mtu mwema.
Wapo, lakini wachache sana.Mi nashkuru nimempata anafunga J3 na Alhms.
Ni wanawake wachache sana wenye kufanya hayo.
Kama upo Dar, muone Imamu wa Msikiti wa Ngazija (Dar)Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa kiume, Miaka 30. Graduate, nimeajiriwa serikalini. Naishi DSM. Dini yangu ni Muislam, mimi ni mstaarabu na nina hofu ya Mungu. Sijawahi kuoa wala sina mtoto. Naamini somewhere out there pia kuna mabinti wengi tu wastaarabu kabisa ambao wanatafuta mme mwema ambae watafungua nae ukurasa mpya wa maisha ya ndoa hatimaye wajenge familia, tatizo tu linakuwa how you two get connected.
Sifa za binti.
Umri: 22- 28 yrs
Dini: Muslim
Elimu: Certificate or Diplomal, ukiwa graduate is an added advantage.
Kabila: Lolote, sio ishu sana kwa dunia ya leo
Ajira: Uwe na ajira, au ni mtu ambaye unaweza kuajirika.
Huna mtoto.
Nafikiri sifa nyengine uta zifaham zaidi kadri tutakavyo fahamiana.
Kama una hisi una sifa hizo na upo serious, karibu PM tafadhali. This is a serious Note, jokes aside please.
Wapo, lakini wachache sana.
Kila la heri Mkuu usisahau kuleta mrejesho. Naamini utafanikiwa kupata huyo umtakaye ili mfunge pingu za maisha.
Gari sio ishu kwa binti anaye tafuta mme mwema.Kaa sababu wewe ni graduate na umeajiriwa serikalini utawapata wengi.
Pia umesahau kusema una gari
Gari sio ishu kwa binti anaye tafuta mme mwema.
Ofcoz, swala la elimu ni moja ya consideration ya muhimu unapotafuta mme/mke. Hakukua na umuhimu wa kueleza kama nin gari.Ila kuwa graduate ni issue kubwa kwa anaetafta mme sii boss??
Ungemalizia tu una gari..umejenga ghorofa na una biashara za uhakika hapa mjini.
Utawapata wa kutosha
Thanks broAllah akupe hitaji la moyo shekhe