Nilizaa mtoto enzi za ujana,.shortly cjawahi kuoa kwa sababu anuai,ndo maana sasa naona ndo muda sahihi wa kutafuta.naamini jukwaa hili ndo mahala pake,inshallah
Kuna mmoja yupo hapo Nigeria nadhani anakufaa na ana sifa zote ulizozitaja anaitwa AMINA LAWAAL na anaendana na ile sura yenu 178 KUTIBAHALEY KUM IL KISASI
Umri wangu ni miaka 36 elimu yangu ni degree,kazi ni mhasibu serikalini.natafuta mke kabila lolote ambaye ni muislam mwenye elimu kuanzia form iv na ajira serikalini au kampuni.akiwa na mtoto mmoja sio mbaya.
Aliye tayari aweke nambake ntampigia
Tangazo la ajira kwa wanawake wa kiislamu.Kwani nafasi yako kama mwanaume umeipoteza?najua huko unakoishi kuna mabinti kibao, au mdomo umejaa zege kiasi kwamba unashindwa kuongea nao mpaka unaweka tangazo?
. ukia unataka kitu hasa kuanzisha mausiano ni vzr kua muwazi kidogo, wewe miaka 36 uliishije mkeo amekufa? km kafa kwa ugonjwa pia ni vzr ukasema chanzo cha kifo cha huyo mwenzio usije kua unataka wa kufa nae na km hukuwa nae kwa nn?