Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,958
Mkuu yaani mtu aje tu kama kunguru we kikongwe...... yaani hajui una kazi unafanya nini ...aje tu kienyeji enyeji hata picha hakuna .....asee kikongwe nenda hata dating app huko utapata mzigo kiulaini tu....hapa huwezi pata maana hujaweka taarifa za kutosha kwenywe dating site huko utaonana na vikongwe kibao nao wanatafuta wanaume vikongwe.....Mimi nipo dar na nahitaji mke aliye mnene na mkweli pamoja na mapenzi ya kweli. Nipo Dar na umri wangu miaka 54 na umri wa mke usiZidi miaka 50 sina tatizo la dini wàla kabila na tuwasiliane kwa namba 0717667348
😂😂😂😂 babu zoazoa kha!!muje kwa babu njunju zoazoa zizoo
itabidi na mimi nijitose kujinyakulia mulimbwende kama mzee mwenzangu 😂 kaona mmh sio kweli upweke bin upwiru ni mateso mwanawane😂😂😂😂 babu zoazoa kha!!
Tutakunyonya damu wajukuu shauri zako
😂😂😂😂 babu umeanza umbea, haya mzee mwenzio yupi??itabidi na mimi nijitose kujinyakulia mulimbwende kama mzee mwenzangu 😂 kaona mmh sio kweli upweke bin upwiru ni mateso mwanawane
Umeelewa nilichokiongelea kweli Mkuu?. Haishangazi kwa umri huo kutafuta mke ila inashangaza kwa umri huo kutafuta mke kwa namna hii.Kuna kufiwa,
Kuna kuachwa (Divorce)
Kuna kutelekezwa (dragged)
Tusikariri maisha kama Kasuku!
Kutokuwa na mke hakumaanishi hakuwa kuwa na mke. Inawezekana wameachana. Inawezekana alifariki.miaka 54 huna mke😂😂😂haya
Washabeep huko. We huoni hata Hamna post ya muendelezo?Mkuu yaani mtu aje tu kama kunguru we kikongwe...... yaani hajui una kazi unafanya nini ...aje tu kienyeji enyeji hata picha hakuna .....asee kikongwe nenda hata dating app huko utapata mzigo kiulaini tu....hapa huwezi pata maana hujaweka taarifa za kutosha kwenywe dating site huko utaonana na vikongwe kibao nao wanatafuta wanaume vikongwe.....
Hapa umeandika kienyeji sana .....wazee kama nyinyi ni tunu ya taifa....wahi dating site upate mkeo wako ...mzee wangu
Mleta uzi mzee mwenzangu bwana Kaiddik huoni anataka tukunyama lake akachezee bucha 😆. Ila babu mimi ni sabuni ya zoazoa sibagui sichagui anayekalia mgongo sawaaa anayekalia makalio sawaaa😂😂😂😂 babu umeanza umbea, haya mzee mwenzio yupi??
sawaKutokuwa na mke hakumaanishi hakuwa kuwa na mke. Inawezekana wameachana. Inawezekana alifariki.
Acha u-much know Senior member,Mkuu yaani mtu aje tu kama kunguru we kikongwe...... yaani hajui una kazi unafanya nini ...aje tu kienyeji enyeji hata picha hakuna .....asee kikongwe nenda hata dating app huko utapata mzigo kiulaini tu....hapa huwezi pata maana hujaweka taarifa za kutosha kwenywe dating site huko utaonana na vikongwe kibao nao wanatafuta wanaume vikongwe.....
Hapa umeandika kienyeji sana .....wazee kama nyinyi ni tunu ya taifa....wahi dating site upate mkeo wako ...mzee wangu
Mwambie Huyo chibonge akija kuzaa ndo atapasuka kabisa!!
Haya kaolewe wewe ....... naona una ham ya ndoa sioAcha u-much know Senior member,
Kumbuka kuna mengi ya dunia, kufiwa!! kuachwa etc