F fukujima Senior Member Joined Apr 19, 2013 Posts 109 Reaction score 36 May 5, 2014 #1 Natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 30 - 35. kutoka mkoa wa iringa, mbeya na Rukwa aliye na nia wasiliana nami wasulwawenga@gmail.com au PM
Natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 30 - 35. kutoka mkoa wa iringa, mbeya na Rukwa aliye na nia wasiliana nami wasulwawenga@gmail.com au PM
nkungwe123 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 444 Reaction score 95 May 5, 2014 #2 35??? Mmmh.... unalo. Wewe una miaka mingapi?
Ennie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 7,137 Reaction score 4,138 May 5, 2014 #3 Hiyo mikoa ulotaja iwe ni asili yake huko au awe anaishi huko kwa sasa bila kujali ana asili ya wapi?
Hiyo mikoa ulotaja iwe ni asili yake huko au awe anaishi huko kwa sasa bila kujali ana asili ya wapi?
Kichoi JF-Expert Member Joined Apr 13, 2014 Posts 212 Reaction score 87 May 5, 2014 #4 Mbona sifa chache sana? Umri, mkoa, na nia ni wigo finyu sana. Dini ni kigezo cha msingi sana!
DuppyConqueror JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 9,466 Reaction score 6,970 May 5, 2014 #5 Everlyn Salt....bahati ya mtende hiyo usiiachie
Leomimi JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 2,547 Reaction score 874 May 5, 2014 #6 Tayari wewe ni mbaguzi
Mom Fay JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 1,059 Reaction score 316 May 5, 2014 #8 una umri gan wewe?
ICHANA JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 4,765 Reaction score 3,596 May 5, 2014 #9 Ubaguzi huu o
A Albosignathus JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 4,898 Reaction score 1,051 May 5, 2014 #10 Mom Fay said: una umri gan wewe? Click to expand... Mom Fay mchumba wangu achana na huyo jamaa kasoma na Kingunge Ngombale Mwiru.
Mom Fay said: una umri gan wewe? Click to expand... Mom Fay mchumba wangu achana na huyo jamaa kasoma na Kingunge Ngombale Mwiru.
P Powel Mizengo Senior Member Joined Jan 20, 2014 Posts 126 Reaction score 24 May 5, 2014 #11 Kazi kwelikweli..........!!!
jembe afrika JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7,602 Reaction score 3,781 May 5, 2014 #12 Ngoja niende stand nikakutafutie mke...loading errar...
tian JF-Expert Member Joined Jul 27, 2007 Posts 1,770 Reaction score 538 May 5, 2014 #13 kila la kheri,Ukimpata Uje Kutueleza Sawa eeh!!