golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Heshima zenu wana jukwaa,
Naomba kueleza ukweli wa mambo ulivyotokea kwa mara ya kwanza. Nilikuwa natafuta mke, wakatokea wawili walionipm.Tukianza na wa kwanza, huyu tulikutana, baada ya miezi kama minne, tukaenda kupima, nikajua nimepata mke, ghafla akanichunia, mpaka leo sijui tatizo.
Wa pili tulichati kwa muda mrefu, ila badae akakata mawasiliano, mpaka leo sijui tatizo nini. Sasa nimerudi kwa mara ya pili na mwisho kwa hili forum.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wanaforum
Nawasilisha