Wengi single motherBikira awe humu jf? usidanganyike
Siku ukimpata unistue na mm nichukue mmojaHabari za majukumu ndugu zangu wote!
Nategemea kuoa mwakani Mungu akijaalia, kutokana na expirence ya mahusiano ya sasa na maisha kwa ujumla Mimi binafsi nimetamani kutaka kuoa mwanamke ambaye ni BIKRA. Nina sababu zangu nyingi saana, awe na age yoyote japo najua Bikra wengi watakuwa range ya 18-24 hivi, Mimi na 36yrs. Naomba kwa anayejua mikoa ambayo wapo Bikra wengi au anayemfahamu yeyeote Bikra basi anisaidie, ama kama kuna mwenye hiki kigezo hapa naomba njoo PM tufahamiane, pamoja na kigezo cha Bikra lakini awe pia na vigezo vya kuwa mke (wife material) and beautiful 😍 😍!! Yeah beautiful sababu hii ndiyo main key ya kufanya nikupende na Tu enjoyable maisha bila cheating.
Wengi nadhan mtakuwa mmenielewa, kama nitakosa Bikra angalau nipate ambaye hajawa na ma x zaidi ya 2, ( hapa najua mwenyewe namna nitahakukusha)
wewe tena ungewezaje kutunza kitu kama hicho..?Bikra imenikosesha mume!
Wapo wengi sana tena huwa hawachangii chochote kwenye hizi mada zinazotrend kila siku hapa jfBikira awe humu jf? usidanganyike
Nilijua tu utasema hivyoBikra imenikosesha mume!
Una mwanasheria? Au unaropoka tu!🤔ephen vivocha kama vocha tu ulikuwa unaziparamia vile naniliu je..?😁
Sekondary ipi?😂 akawahi hospital wanaozaliwa aanze kuinvestBikra ipi labda..
Then.. ukitaka wa hivyo just INVEST hasa akiwa bado sekondari.. nenda kwao kawekeze, msomeshe kwa mkataba maalumu ww na familia yao.
NB; at your own risk
Hebu tafutatafuta.Au hata azima.Acha kuzubaa wewe!Bikra imenikosesha mume!
Watu tunazitoa wakishaanza kuwa darasa la 5 kwenda mbeleBikra ipi labda..
Then.. ukitaka wa hivyo just INVEST hasa akiwa bado sekondari.. nenda kwao kawekeze, msomeshe kwa mkataba maalumu ww na familia yao.
NB; at your own risk
Aweke na GPS kbs utepe ukikatwa apate real-time notification 😅Sekondary ipi?😂 akawahi hospital wanaozaliwa aanze kuinvest