Jirani mbona ningekueleza tufanye dili..!!? Yaani hapa sijapewa mshiko wala nini... Ni mapenzi yangu kwako tu jirani yangu..
Ha haaa sasa jirani ngoja shemeji yako Nyani Ngabu aone unanipigia chepuo
Ha haaa sasa jirani ngoja shemeji yako Nyani Ngabu aone unanipigia chepuo
mwambie kijana aje nimpeleke Safina.........kule atatoka na lundo.........hebu muulize kama atapenda kuja na mimi........
Sasa hapo tu umepigiwa chepuo la kijirani na kunisemea juuuu... Sasa hilo chepuo lingekuwa langu si ningeuwawa mimi...??! Halafu jirani nyie wa kusemeana nyie nawaogopa.. mkikuta mtu haitwi amewavutia hata hamumsemei
Ntaua mtu ujue....ooohooooooo
Ha haa jirani mie sina simile,ukiniambia kitu mie mbio kusema. Hata ukinihonga nasema tu
Jirani mbona ukichepuka husemi..??
Sasa ukifungwa mie ntabaki na nani
Jirani jaribu kunichepusha uone kama sijasema
Preta unahitajika huku kwa ushauri zaidi. Hivi bado unaishi maeneo yetu yale?