Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,602
- 1,864
Wakijitokeza nami nahitaji mke asiyezaa. Umri huu sihitaji kuzaa Nina watoto wanajitegemea.Umri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja,.
Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi,. Kama una ndugu au jamaa yako mwambie,-! Hii ni kama fulsa pia kwa wadada wasio zaa.
Najua kuwa kuna wadada hawana kizazi na wamejikatia tamaa ya kuwa katika ndoa, hamjachelewa natafuta mwanamke wa aina hiyo,. Kama ni wewe au una ndugu yako aje aje aje aje,.
Waambie wajue kabisaa kama wanakuja kuwa baby sitters wa watoto wako wa mitala au nawe huna kizaziUmri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja,.
Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi,. Kama una ndugu au jamaa yako mwambie,-! Hii ni kama fulsa pia kwa wadada wasio zaa.
Najua kuwa kuna wadada hawana kizazi na wamejikatia tamaa ya kuwa katika ndoa, hamjachelewa natafuta mwanamke wa aina hiyo,. Kama ni wewe au una ndugu yako aje aje aje aje,.
Nakuombea upate hitaji la moyo wako .. Nawaombea wenye uhitaji wa ndoa ya namna hiyo piaUmri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja,.
Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi,. Kama una ndugu au jamaa yako mwambie,-! Hii ni kama fulsa pia kwa wadada wasio zaa.
Najua kuwa kuna wadada hawana kizazi na wamejikatia tamaa ya kuwa katika ndoa, hamjachelewa natafuta mwanamke wa aina hiyo,. Kama ni wewe au una ndugu yako aje aje aje aje,.
Punguza kidogo aftatu hanaUnayo aftatu nikutafutie?
Wewe hutaki watoto? Au una matatizo yako ya kiafya?Umri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja. Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi.
Kama una ndugu au jamaa yako mwambie, hii ni kama fursa pia kwa wadada wasiyozaa.
Najua kuwa kuna wadada hawana kizazi na wamejikatia tamaa ya kuwa katika ndoa, hamjachelewa natafuta mwanamke wa aina hiyo. Kama ni wewe au una ndugu yako aje.
fanya kama unanisaidia ndugu yangu,.Unayo aftatu nikutafutie?
Ndo ukweli wangu huoMtu poli kama mtu poliyani umekwenda straight to the point. Hauna bla bla.
Kuzaa umeghairi mkuuAise ata mie nataka demu wa namna hiyo...yaani ni kula bata tuu na kugegedana
Kumbe tupo wengi ee?Aise ata mie nataka demu wa namna hiyo...yaani ni kula bata tuu na kugegedana
Rejea kusoma hili bandiko languWewe hutaki watoto? Au una matatizo yako ya kiafya?
Kila nikiwaza haya majanga nakosa hamu ya kupata mtotoKuzaa umeghairi mkuu
Umri haujaweka mchumba, au ni team age is just a numberfanya kama unanisaidia ndugu yangu,.
Awe tu kijana mwenye uwezo wa kufanya kazi za nyumbani kwa ueredi,.Umri haujaweka mchumba, au ni team age is just a number