Half-casteHivi ni halfcast ama africast.....???? Embu nisaidieni ...
Huku Tabora tunao wa muundo huo wengi sana maana kuna waarabu kama utitiri na tabia yao kuu ni kujaza mimba wafanyakazi wao wa ndani na kuwapiga chini so sifa ya kwanza utaipata lakini hapo kwenye elimu ndiyo huenda ikakubidi ufanye upembuzi yakinifu.
Karibu sana kijijini kwetu tutuo a.k.a kijiji cha waarabu njia ya kwenda Sikonge au usoke kama unaelekea urambo huko wapo wengi zaidi ni wewe tu.
Half-caste
Half-cast
Una batchelor alaf unasema Africast?:what::what:
Africast ndo nini?
Half caste
Half-cast
Una batchelor alaf unasema Africast?:what::what:
Ahsante mkuu