Natafuta mkanda wa dell 1420

Natafuta mkanda wa dell 1420

Jizo

Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
19
Reaction score
0
jamani kwa mtu mwenye mkanda wa laptop 1420 anipigie simu kwenye no: 0717244446 nimehangaika sana huku moshi bila mafanikio kwa hiyo naomba tufanye biashara na watu wa mikoa mingine nadhani nitapata hasa kwa wale wa dsm!!
 
Mkanda wa aina gani huo, mbona sijaelewa?
 
jamani kwa mtu mwenye mkanda wa laptop 1420 anipigie simu kwenye no: 0717244446 nimehangaika sana huku moshi bila mafanikio kwa hiyo naomba tufanye biashara na watu wa mikoa mingine nadhani nitapata hasa kwa wale wa dsm!!

moshi kubwa, unapatikana maeneo gani hasa mkuu!!
 
Back
Top Bottom