miradibubu
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 312
- 85
Kwa heshima ninaomba kupewa maelekezo juu ya bei ya gari ya mzigo tajwa hapo juu. Ningeomba kuelezwa pia bei yake ni kiasi gani na wapi ninaweza kupa gari hilo jipya! Nitafurahi kama linaweza patikana Dar es salaam au Mwanza
Pia ningependa kupata ushauri mwingine wa kitaalamu juu ya mambo ya kuzingatia ktk kununua gari husika ikiwa ni pamoja na aina ya injini nzuri na mengineyo ya kiufundi ambayo ninapaswa kuyajua.
Ninatanguliza shukrani sani!