Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,119
Msaada kwa yeyote yule anayeweza kunisaidia kupata mini projector usb connection kwa ajili ya laptop anijulishe PM au hata hapa.
View attachment 138165
Thus a mini projector.Mzigo nimetuma kutoka huku U.K(London) now unapatikana dar,shop no 14,msimbazi street opposite to Bigbonstation.Pia zipo
Normal Projectors za:
Mitsubishi
Nec
Hp
sanyo
Focus
Epson
Wasiliana nasi;
Dar:0715267939/0754267939
UK: +447462912558
View attachment 138165
Thus a mini projector.Mzigo nimetuma kutoka huku U.K(London) now unapatikana dar,shop no 14,msimbazi street opposite to Bigbonstation.Pia zipo
Normal Projectors za:
Mitsubishi
Nec
Hp
sanyo
Focus
Epson
Wasiliana nasi;
Dar:0715267939/0754267939
UK: +447462912558
Shukran mkuu nimempigia yeye huyo anazo za kawaida tu mm natafuta ndogo size ya kiganja cha mkono au ukubwa kama kipande cha sabuni ya kufulia![]()
mambo vp kaka?nilimpigia jamaa yako anipe model za projector alishindwa. shida yangu ni kupata projector ambayo ninaweza kuitumia kuonyesha mpira hata kama ninapoonyeshea hapana giza
mambo vp kaka,ulishapata projector kwa ajili ya kuonesha mpira?nilimpigia jamaa yako anipe model za projector alishindwa. shida yangu ni kupata projector ambayo ninaweza kuitumia kuonyesha mpira hata kama ninapoonyeshea hapana giza