Natafuta Microfinance company(credit only)ya kununua

Natafuta Microfinance company(credit only)ya kununua

BabuLeo

Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
29
Reaction score
13
Kama kuchwa cha habari kinavyojieleza natafuta Kama kuna mtu amewahi kuregister na kupata Leseni ya biashara ya kukupesha hela Ila haitumii nahitaji aniuzie.
Au Kama mtu anaweza kunisaidia kupata hiyo Leseni anicheki PM
 
Mzee ukiwapata zaidi ya mmoja unitag, nilkuwa na wazo na hii business
 
Sajili kampuni yako... Ukimaliza Fanya tax clearance na TIN... Peleka documents zako pale blera kwa ajili ya usajili ada ya leseni ni 600K kwa mwaka....
 
Wanunue PRIDE, BRAC, FINCA nilisikia wanauza
🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
15650721416137909144764165783069.jpg

Soma haya maitaji hakuna ugumu...

Ukitaka kununua sizani kama utauziwa laki tano au 1M na una weza uziwa na madeni ya kodi na madeni mengine
 
Kama kuchwa cha habari kinavyojieleza natafuta Kama kuna mtu amewahi kuregister na kupata Leseni ya biashara ya kukupesha hela Ila haitumii nahitaji aniuzie.
Au Kama mtu anaweza kunisaidia kupata hiyo Leseni anicheki PM
Njoo pm
 
Back
Top Bottom