Haya madhara yatokanayo na kutokumuona Mungu, kwa muda mrefu. Expriencing God through his powers and actions matters alot in our lives. Kadiri tuishivyo, tutazidi kupitia changamoto ktk maisha until we have powers and ability to deal with the devil and his powers.
Mungu yupo na ni halisi (God is real) through Jesus Christ. This is true and Amen, whether you believe or not.
Watu wengi hawaamini kwamba Mungu anaweza yote, na hii inatokana na malezi na makuzi tunayopitia ktk maisha. Watu wa karibu wanachoamini kina husika sana.
Mtoa mada, mi nakushauri mpokee Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako, the omba na mahitaji yako yatatimizwa na utajiri na heshima yako itadumu, maana vya Mungu hudumu kama yeye adumuvyo. Achana na njia za mikato, mali zake nazo huisha hivyo hivyo kimkato mkato. Mungu yupo na anafanya hata sasa. Imani yake kwake tu ndio inayo hitajika, kama unavyo amini waganga wa kienyeji na huo ushirikina. Yesu alisema njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha. Come to Jesus and he will accept you.
Ikumbukwe kwamba.
Mungu ni Roho na shetani pia ni roho, Mungu anahitaji watu na shetani pia anataka watu ili ku-operate duniani. Mchague Mungu katika Kristo Yesu nawe uishi kwa Amani na Mungu apate utukufu, chagua shetani na kundi lake (waganga wa kienyeji) ukaribishe laana na mauti nyumbani kwako. Kumbuka Mungu ni mwenyezi kila kitu ni chake lakini anatupa sisi kuchagua kati yake, shetani au kuishi kivyetu.
Tafadhali mpokee Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako(okoka sasa), naye atakuweka huru na kukupa kila haja ya moyo wako siku kwa siku na pia kukuhakishia uzima wa milele baada ya maisha haya. It may not seem to make sense, but remember God does not make sense, human intelligence has failed to comprehend and apprehend him, and besides, most of the things of God are controversal, even his servants are controverse too. But he remains to be the Lord and saviour and no one can change that.
cc @Uwoga umasikini,
NGULI