Habarini mabibi na mabwana wa Jamiiforums, nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa mada za humu kama guest na sasa nimeona nijiunge nanyi.
Sisi binadamu tumeumbwa tofauti na imani zetu zatofautiana kutokana na maeneo tuliyozaliwa, jamii inayotuzunguka na jinsi tu tulivyozaliwa tofauti kitabia na wengine.
siamini katika Mungu wa Kanisani wala msikikitini.
Ninapost hapa jukwaani nikiomba msaada wenu wale mlioshiriki katika mizungu na mkapata msaada au ufumbuzi wa matatizo.
Naomba msaada wa kuunganishwa na mganga wa jadi anaejua kazi na sio mbwembwe tupu zisizo na tija,natafuta mganga hasa mwenye TV ya asili nikajionee mambo.
wewe uwezae nisaidia naomba unitumie PM ya wapi naweza pata huduma hii
Ukinipa taarifa za mtaalamu wa uhakika nitarudi na asante yako.
wale wenye imani zenu piteni kwa amani ya Miungu wenu.
Wasalam
Posho