Natafuta mganga wa 'chuma ulete'

scatter

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,667
926
Wakuu habari kusema ukweli mwaka huu nataka niongeze kipato changu niwe mtu mwenye pesa za kutosha na ili nifanikiwe nasikia kuna wataalamu wa kuweza kufanya mtu upate pesa kwa shortcut na bila kutumia mtutu wa bunduki au kumdhuru mtu wanaita chuma ulete
Hivyo basi popote alipo mtaalamu wa aina hiyo naomben msaada kwa pm muhimu sana
 
Mungu anatosha,
Siku za kuishi duniani ni chache saana,na hii laana mungu atakuhukum.
Mungu anahukum mpaka nia zetu,regardless tumezitekeleza au la
 
Back
Top Bottom