Natafuta mfanyakazi wa ndani

Natafuta mfanyakazi wa ndani

BIGK

Member
Joined
Sep 6, 2017
Posts
21
Reaction score
22
Awe binti mwenye sifa zifuatazo;
1. umri 20-26
2. awe na uwezo wa kulea mtoto
3. mcha Mungu
4. mwenye upendo wa dhati
5. awe anatokea Morogoro, Songea, Iringa au Mbeya
6. Awe msafi na anae jipenda

Awe tayari kupimwa afya yake na kutoka na barua ya mjumbe wa sehemu anayo ishi na utambulisho wake awe tayari kwenda kwao anapo ishi

Maradhi na huduma zingine atapata, mshahara 100000/
Nina mtoto mmoja wa mwaka na miezi mitano basi

Nawakaribisha sana pm
 
Awe binti mwenye sifa zifuatazo
umri 20-26
awe na uwezo wa kulea mtoto
mcha mungu
mwenye upendo wa dhati
awe anatokea iringa au mbeya
Maradhi na huduma zingine atapata
Awe msafi na anae jipenda
mshahara 100000/
Nina mtoto mmoja wa mwaka na miezi mitano basi
Awe mtu wa morogoro,songea,iringa au mbeya

Nawakaribisha sana pm

Awe tayari kupimwa afya yake na kutoka na barua ya mjumbe wa sehemu anayo ishi na utambulisho wake awe tayari kwenda kwao anapo ishi
Yupo iringa anapatikana kama upo tayar tuwasiliane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri , umesomeka vyema sana .

To accomplish much you must first lose everything..
 
awe anatokea iringa au mbeya

Nina mtoto mmoja wa mwaka na miezi mitano basi
Awe mtu wa morogoro,songea,iringa au mbeya

Nawakaribisha sana pm
Mbona blue na red vinaumana??

Afu lile zoezi lako la kuimarisha uume bado unalifanya??
 
Huna ndugu wa kike unayeweza kumchukua akakusaidia katika hili maana wadada wa kuchukua mikoani sasa hivi ni tishio.

-Ndumilakuwili-
 
Tafuta wa mjini hapa Dar awe anakuja na kurudi kwake
 
Tafuta wa mjini hapa Dar awe anakuja na kurudi kwake

Tena Kwa Mshahara huo ataweza kupata kabisa wa hapa Dar wa kutwa, tena anaweza pata Mtu mzima msafi anaejielewa ! A house keeper with less supervision ! Ila changamoto Yao kubwa nasikia ni kuiba vitu vya nyumbani Kama vile mafuta ya kupikia , sabuni , sukari, mchele , unga, maharagwe n.k Eti Bombay hali hiyo unawezaje kuizuia? Maana nyie mna uzoefu wa kutumia hawa wa kuja na kuondoka kwao
 
Awe binti mwenye sifa zifuatazo;
1. umri 20-26
2. awe na uwezo wa kulea mtoto
3. mcha Mungu
4. mwenye upendo wa dhati
5. awe anatokea Morogoro, Songea, Iringa au Mbeya
6. Awe msafi na anae jipenda

Awe tayari kupimwa afya yake na kutoka na barua ya mjumbe wa sehemu anayo ishi na utambulisho wake awe tayari kwenda kwao anapo ishi

Maradhi na huduma zingine atapata, mshahara 100000/
Nina mtoto mmoja wa mwaka na miezi mitano basi

Nawakaribisha sana pm
Mpigie huyu

0715 573 747
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom