Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,204
- 7,649
Habari zenu watu wote Mlio humu..nadhani tumeamka salama na wengine tayari mpo makazini,maofisini,nk.
Nimekuja kwenu kwa heshima na taadhima natafuta mfanyakazi asiechagua kazi na alie na shida na utayari wa kufanya kazi kwa Hali zote.
Mfanyakazi mwenye malengo ya kazi na ukarimu na lugha nzuri.
Sijajua ni kazi gani nitampa ila Wanasema KAZI KAZI...kazi ni kazi ilimradi tu "isivunje sheria za nchi na isivunje amri 10 alizopewa Musa"
Mfanyakazi ninaemtaka ni DADA..narudia tena natafuta DADA..sio MAMA, kuhusu miaka inajulikana DADA hua ana miaka MINGAPI mpk mingapi.
Kwa kurahisisha kuhusu miaka aanzie miaka 24 mpk 27
Kama ameolewa sawa,kama ana mtoto sawa,ninachohitaji ni Utayari na mtu mwenye umri huo.
VIGEZO VINGINE VYA MUHIMU...
-ajue kutumia kompyuta vizuri
-awe mkazi wa dar
-asitoke mbali kwani eneo la kazi ni MBEZI LUIS au MBEZI MWISHO.
-anaeweza kuwahi kazini saa moja kamili awe kafika.
-Ajielewe,ajitambue.
SIFA KUBWA KULIKO ZOTE
-Awe ni mtu mwenye Malengo ya Biashara
-asiwe gogo la kukaa kuambiwa fanya hiki ndo afanye
-ASIWE MUHUNI WA KUVAA VISURUALI NA VI TAITI NA VINGUO VYA BEACH(Smart one)
Mengine nk. tutaambiana tutakapoonana na kupanga cha kufanya.
Kabla sijasahau
Awe mtu alie tayari kupokea malipo ya LAKI kwa Mwezi
NAULI(1000) utapewa na ofisi hiyo buku ina mana ni kwa mtu atakaepanda gari moja kuja kazini na moja kurudi kazini..kama utapanda magari zaidi ya mawili lets say unakaa mbagala BUKU haiwez kukutosha kuja na kurud so hiyo itakayoongezeka ni yako mwenyewe..ila ofisi kama ofisi itakuchangia BUKU tu.
kuhusu UTUMBO
KULA mchana UTAKULA KAZIN kwa gharama za ofisi haiusiani na mshahara wako.
MSHAHARA NI LAKI MOJA kama utafata hayo hapo JUU

MSHAHARA UNAWEZA KUBADILIKA NA KUA
LAKI MBILI kwa MWEZI kama utafata yafuatayo.
-Kula ujitegemeee
-Nauli ujitegemee(ofisi haitoi hata sent yake)
-chochote kile ujitaftie wewe kama wewe.
MSHAHARA WAKO UTAKUA LAKI MBILI per month
ONYO: Usijaribu kunitafuta kama unajijua una sofa zifuatazo
-Muongo
-Mwizi
-Tapeli
-Kahaba/Malaya
kwani kunitafuta mimi ni Kutafuta kupotelea JELA au GEREZANI for the REST of YOUR LIFE.
Kuna kesi nyingi hazina watuhumiwa so usije kunitafuta ukiwa na lengo la kuja KUIBA coz nitakuzawadia kesi itakayokuweka segerea si chini ya mwaka ili tu UPATE DHAMANA...
MWIZI TAPELI na hao wengine msijichanganye mkanitafuta coz Hunijui NILIYEANDIKA HILI TANGAZO NI NANI.
Namimi simjui ninae mtafuta wala nitakae mpata so usije badae ukaniita KAKA wakat mimi sio kaka ako...USIJE ukaniita DADA wakat mimi sio dada ako..SINA UNDUGU NA MTU HUMU JAMIII wala katika mtandao.
Nimeandika tangazo kwani najua yupo/wapo wataotokea KUBEEP au kutikisa KIBERITI kama kina njiti amah lah.
NARUDIA TENA TENA NA TENA
USIJE UKANITAFUTA KAMA WEWE NI
mwizi.muongo.malaya.kahaba.nk
KWA WALE WASTARABU wenzangu tuliotayari kutafuta maisha kwa kuanza na kidogo na tukaridhika nacho
tutaftane WHATSAPP ONLY
0652-270700
(chonde.chonde ewe Jambazi..chonde.chonde ewe Tapeli)