Natafuta mfanyakazi wa kike

Natafuta mfanyakazi wa kike

Habari zenu watu wote Mlio humu..nadhani tumeamka salama na wengine tayari mpo makazini,maofisini,nk.

Nimekuja kwenu kwa heshima na taadhima natafuta mfanyakazi asiechagua kazi na alie na shida na utayari wa kufanya kazi kwa Hali zote.

Mfanyakazi mwenye malengo ya kazi na ukarimu na lugha nzuri.

Sijajua ni kazi gani nitampa ila Wanasema KAZI KAZI...kazi ni kazi ilimradi tu "isivunje sheria za nchi na isivunje amri 10 alizopewa Musa"

Mfanyakazi ninaemtaka ni DADA..narudia tena natafuta DADA..sio MAMA, kuhusu miaka inajulikana DADA hua ana miaka MINGAPI mpk mingapi.

Kwa kurahisisha kuhusu miaka aanzie miaka 24 mpk 27
Kama ameolewa sawa,kama ana mtoto sawa,ninachohitaji ni Utayari na mtu mwenye umri huo.

VIGEZO VINGINE VYA MUHIMU...

-ajue kutumia kompyuta vizuri
-awe mkazi wa dar
-asitoke mbali kwani eneo la kazi ni MBEZI LUIS au MBEZI MWISHO.
-anaeweza kuwahi kazini saa moja kamili awe kafika.
-Ajielewe,ajitambue.

SIFA KUBWA KULIKO ZOTE

-Awe ni mtu mwenye Malengo ya Biashara
-asiwe gogo la kukaa kuambiwa fanya hiki ndo afanye
-ASIWE MUHUNI WA KUVAA VISURUALI NA VI TAITI NA VINGUO VYA BEACH(Smart one)

Mengine nk. tutaambiana tutakapoonana na kupanga cha kufanya.

Kabla sijasahau

Awe mtu alie tayari kupokea malipo ya LAKI kwa Mwezi

NAULI(1000) utapewa na ofisi hiyo buku ina mana ni kwa mtu atakaepanda gari moja kuja kazini na moja kurudi kazini..kama utapanda magari zaidi ya mawili lets say unakaa mbagala BUKU haiwez kukutosha kuja na kurud so hiyo itakayoongezeka ni yako mwenyewe..ila ofisi kama ofisi itakuchangia BUKU tu.

kuhusu UTUMBO

KULA mchana UTAKULA KAZIN kwa gharama za ofisi haiusiani na mshahara wako.

MSHAHARA NI LAKI MOJA kama utafata hayo hapo JUU

MSHAHARA UNAWEZA KUBADILIKA NA KUA

LAKI MBILI kwa MWEZI kama utafata yafuatayo.

-Kula ujitegemeee
-Nauli ujitegemee(ofisi haitoi hata sent yake)
-chochote kile ujitaftie wewe kama wewe.

MSHAHARA WAKO UTAKUA LAKI MBILI per month

ONYO: Usijaribu kunitafuta kama unajijua una sofa zifuatazo

-Muongo
-Mwizi
-Tapeli
-Kahaba/Malaya

kwani kunitafuta mimi ni Kutafuta kupotelea JELA au GEREZANI for the REST of YOUR LIFE.

Kuna kesi nyingi hazina watuhumiwa so usije kunitafuta ukiwa na lengo la kuja KUIBA coz nitakuzawadia kesi itakayokuweka segerea si chini ya mwaka ili tu UPATE DHAMANA...

MWIZI TAPELI na hao wengine msijichanganye mkanitafuta coz Hunijui NILIYEANDIKA HILI TANGAZO NI NANI.

Namimi simjui ninae mtafuta wala nitakae mpata so usije badae ukaniita KAKA wakat mimi sio kaka ako...USIJE ukaniita DADA wakat mimi sio dada ako..SINA UNDUGU NA MTU HUMU JAMIII wala katika mtandao.

Nimeandika tangazo kwani najua yupo/wapo wataotokea KUBEEP au kutikisa KIBERITI kama kina njiti amah lah.

NARUDIA TENA TENA NA TENA

USIJE UKANITAFUTA KAMA WEWE NI

mwizi.muongo.malaya.kahaba.nk

KWA WALE WASTARABU wenzangu tuliotayari kutafuta maisha kwa kuanza na kidogo na tukaridhika nacho

tutaftane WHATSAPP ONLY

0652-270700

(chonde.chonde ewe Jambazi..chonde.chonde ewe Tapeli)
Nakushauri wape kazi watu wako wa karibu kama ndugu zako,shemeji no
Zaidi ya yote uwe unafupisha tangazo na sio kurudia rudia kwa mikwara mbuzi.
Dunia ya leo watu hawatishani ila wanafanya kweli kutokana na maamuzi yao!
 
kampuni ya FAST and FASTA inapenda kukufahamisha ewe mtanzania kuwa,tunatoa mafunzo ya wafanyakazi wa ndani na pia tunaweza kukuletea mfanyakazi kutoka mkoa wowote unaotaka mpaka nyumbani kwako.tupo tegeta kwa ndevu.tupigie 0762935154 au 0653218728

19436218_119937775273411_6219605500695150592_n.jpg
 
HouseMaids Search Co Ltd
Member Since 22. Nov '13, 01:56
About Us
Do you want maid/helper? We are helping you to search the best and qualified maidst to meet your requirement. We trained them on profeaaional hygiene, relationahips qith family and guests, house space management, housekeeping etc

Business Address
Kinondoni, Mwananyamala Dar Es SalaamMwinjuma street, Mkwajuni near Police Post
Contact Business
PHONE BUSINESS
+255 (0) 653 793 440

Dar es Salaam, Tanzania Housekeeper Service. Find great Housekeepers with a background check. Best Housekeeper Service in Dar es Salaam, Tanzania. No Placement Fees.
 
Habari zenu watu wote Mlio humu..nadhani tumeamka salama na wengine tayari mpo makazini,maofisini,nk.

Nimekuja kwenu kwa heshima na taadhima natafuta mfanyakazi asiechagua kazi na alie na shida na utayari wa kufanya kazi kwa Hali zote.

Mfanyakazi mwenye malengo ya kazi na ukarimu na lugha nzuri.

Sijajua ni kazi gani nitampa ila Wanasema KAZI KAZI...kazi ni kazi ilimradi tu "isivunje sheria za nchi na isivunje amri 10 alizopewa Musa"

Mfanyakazi ninaemtaka ni DADA..narudia tena natafuta DADA..sio MAMA, kuhusu miaka inajulikana DADA hua ana miaka MINGAPI mpk mingapi.

Kwa kurahisisha kuhusu miaka aanzie miaka 24 mpk 27
Kama ameolewa sawa,kama ana mtoto sawa,ninachohitaji ni Utayari na mtu mwenye umri huo.

VIGEZO VINGINE VYA MUHIMU...

-ajue kutumia kompyuta vizuri
-awe mkazi wa dar
-asitoke mbali kwani eneo la kazi ni MBEZI LUIS au MBEZI MWISHO.
-anaeweza kuwahi kazini saa moja kamili awe kafika.
-Ajielewe,ajitambue.

SIFA KUBWA KULIKO ZOTE

-Awe ni mtu mwenye Malengo ya Biashara
-asiwe gogo la kukaa kuambiwa fanya hiki ndo afanye
-ASIWE MUHUNI WA KUVAA VISURUALI NA VI TAITI NA VINGUO VYA BEACH(Smart one)

Mengine nk. tutaambiana tutakapoonana na kupanga cha kufanya.

Kabla sijasahau

Awe mtu alie tayari kupokea malipo ya LAKI kwa Mwezi

NAULI(1000) utapewa na ofisi hiyo buku ina mana ni kwa mtu atakaepanda gari moja kuja kazini na moja kurudi kazini..kama utapanda magari zaidi ya mawili lets say unakaa mbagala BUKU haiwez kukutosha kuja na kurud so hiyo itakayoongezeka ni yako mwenyewe..ila ofisi kama ofisi itakuchangia BUKU tu.

kuhusu UTUMBO

KULA mchana UTAKULA KAZIN kwa gharama za ofisi haiusiani na mshahara wako.

MSHAHARA NI LAKI MOJA kama utafata hayo hapo JUU

MSHAHARA UNAWEZA KUBADILIKA NA KUA

LAKI MBILI kwa MWEZI kama utafata yafuatayo.

-Kula ujitegemeee
-Nauli ujitegemee(ofisi haitoi hata sent yake)
-chochote kile ujitaftie wewe kama wewe.

MSHAHARA WAKO UTAKUA LAKI MBILI per month

ONYO: Usijaribu kunitafuta kama unajijua una sofa zifuatazo

-Muongo
-Mwizi
-Tapeli
-Kahaba/Malaya

kwani kunitafuta mimi ni Kutafuta kupotelea JELA au GEREZANI for the REST of YOUR LIFE.

Kuna kesi nyingi hazina watuhumiwa so usije kunitafuta ukiwa na lengo la kuja KUIBA coz nitakuzawadia kesi itakayokuweka segerea si chini ya mwaka ili tu UPATE DHAMANA...

MWIZI TAPELI na hao wengine msijichanganye mkanitafuta coz Hunijui NILIYEANDIKA HILI TANGAZO NI NANI.

Namimi simjui ninae mtafuta wala nitakae mpata so usije badae ukaniita KAKA wakat mimi sio kaka ako...USIJE ukaniita DADA wakat mimi sio dada ako..SINA UNDUGU NA MTU HUMU JAMIII wala katika mtandao.

Nimeandika tangazo kwani najua yupo/wapo wataotokea KUBEEP au kutikisa KIBERITI kama kina njiti amah lah.

NARUDIA TENA TENA NA TENA

USIJE UKANITAFUTA KAMA WEWE NI

mwizi.muongo.malaya.kahaba.nk

KWA WALE WASTARABU wenzangu tuliotayari kutafuta maisha kwa kuanza na kidogo na tukaridhika nacho

tutaftane WHATSAPP ONLY

0652-270700

(chonde.chonde ewe Jambazi..chonde.chonde ewe Tapeli)
Vigezo vingi,,,mshahara ungekua m5 je
 
Mi naona haiko sawa hii labda malaika ndio watakuja
 
Mshahara laki moja halafu mikwara milioni moja.

Huu ni upuuzi kabisa.

mh tangazo la kibabe sana asee hta kma mtu una shida lazima uogope
 
nimeishia kucheka haki ya nani yaani mkuu povu lote hilo kumbe mshahara laki moja?? Aisee mungu anawaona yaani sipati picha hapo mtu amepanga anadaiwa kodi, Umeme , kula , kama ana familia ndo usiseme .. Aisee hii Kazi ni ya kiwango cha lami
 
Utanisamehe, naomba tu ni comment: Hata kama ningekuwa na vigezo vyote hapo juu, vyote na nina njaa sana nisingeweza kukutafuta, why? kwa watu wanaojua personality checkup, kwa maandishi yako, HAUNA MAHUSIANO MAZURI NA WAFANYA KAZI WAKO NA WEWE NI MTU WA VISASI, PR YAKO YAWEZA kuwa very low..... kumbuka ukimwajiri mtu, unamlipa, ila na yeye pia anakupa huduma, kwa hiyo mnaitajiana sana tena sana!!! kila la heri
Kweli kabisa hata mm nimehis hivo yaani huu ndo tunaita unyanyapaa kwa wafanyakazi
 
Back
Top Bottom