Wanaume wakifika huko hawafanyi kazi zaidi ya kuhonga
kwani wanawake hawahongi?
Huyo hana elimu yakutosha ya mahusiano. Wanawake ni wahongaji wazuri sana, alivyosema anataka wanawake nilidhani anasababu yamsingi.
Habari wana JF. Natafuta mfanyakazi wakike wa kuuza duka la rejareja. Duka lipo Chini ya Mererani.
Awe anajitambua, na ajue anachokitafuta, ajali kazi yake. Kuishi hapohapo dukani.[/Q
nina mdogo wangu adela ila kwetu iringa anatafuta sana kazi ya kuuza duka kwa sasa yupo arusha kijenge juu kama unahukakika wa usalama wa mdogo wangu pm nikupe namba yake, ndo mtoto wa kike pekee kwetu hivyo tafadhali