Habari,
Natafuta mfanyakazi ktk ofisi yangu. Ofisi yetu inashughulika na mambo ya ICT na Travel.
Awe na sifa zifuatazo:-
Awe anajua Kiingereza na Computer vizuri
Awe anajua kuendesha gari na leseni awe nayo
Awe tayari kufanya kazi muda wowote
Awe msichana
Awe anajua mambo ya Marketing, Sales
Awe tayari kujifunza vitu vipya
Naomba uni PM.