eliangikundi
New Member
- Apr 11, 2010
- 3
- 0
Natafuta mfanyakazi anayeweza kukaa kwenye internet cafe moja iliyopo Tabata Segerea. Awe mkazi wa Tabata segerea na ana ujuzi wa kutumia computer na microsoft office.
tuma maombi yako kwenda kwenye barua pepe, eliangikundi@gmail.com
tuma maombi yako kwenda kwenye barua pepe, eliangikundi@gmail.com