Natafuta mfanyakazi kazi za ndani dar.

MR. JERO

Senior Member
May 16, 2014
139
81
Natafuta (house girl) binti wa kazi za nyumbani
.Awe ni binti umri miaka 19-25
.Mchapa kazi
.Mwenye maadili ya kitanzania
.Mwenye nia na kazi kwa dhati na awe tayari kujifunza vitu vipya
.Awe tayari kukaa kwa mwajiri wake

Mazingira ni mazuri na mshahara ni mzuri pia.

Nipigie kwa
0717267636
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom