Natafuta Mfadhilli wa kunisomesha

Natafuta Mfadhilli wa kunisomesha

Joined
Feb 12, 2017
Posts
8
Reaction score
8
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye natamani kuona ndoto zangu za kuwa msomi mkubwa zinatimia kwa kwa njia yoyote ile ya halali.

Natafuta na naomba mfadhili anisadie nifanikishe ndoto zangu au hata msaada wowote ule wa kimawazo nitapokea nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na nimepata division 3 ila nimekosa point za chuo kikuu.

Hivyo naenda kuanza diploma chuo cha DIT kwa coz ya electrical engineering, nimeshatuma maombi na nina uhakika nitapata kwasababu O-level certificate yangu imekidhi.......

Nipo serious wakuu mwenye msaada wowote nitaupokea.
Mwenye kuguswa 0715458246!!!
 
Back
Top Bottom