juliano norman
Member
- Dec 17, 2015
- 41
- 4
asante sanaHaya.....hope wamekusikia
kaka atakaekuwa tayar nitamuhakikishia kwa kumuonesha utambulisho ili apate kuamini na nitamuunganisha na viongoz wanaonizungukaKwa kuwa matapeli ni wengi siku hizi lete utambulisho toka kwa DC na Mods wahakiki kuwa ni wewe
Kama unashida kweli tupia uthibitisho...acha mashartikaka atakaekuwa tayar nitamuhakikishia kwa kumuonesha utambulisho ili apate kuamini na nitamuunganisha na viongoz wanaonizunguka
Hapa kazi tuSi ulichagua CCM? Nenda ukawaombe wakusaidie.
ningeweza fanya hvyo ila tatzo cm yangu haina uwezo wa ku-upload na ndio maana nimeweka mawasiliano ili yeyote atakaeguswa na hili tukiwasiliana tu ndio ntamuonesha uthibitishoKama unashida kweli tupia uthibitisho...acha masharti
shamba lipo lakini sio la kudumu na nimelima tayari lakn uzalishaj wake ni wa hal ya kawaida sana kaka anguHuwa hatudanganyi hivyo ndugu yangu. Hii sasa imeshakuwa kama ni fashion sasa, mtu akiona tu baba mwenye nyumba kaja kudai kodi basi anakimbilia jamiiforums kuja kuomba msaada... hatukatai mtu kuomba msaada...sisi wote humu ndani tumepitia hayo huo umri wa miaka 24 sio umri wa kukaa unatembeza bakuli. HUKO KIJIJINI HUNA SHAMBA?
haya asante sanaNafuatilia kwa karibu
asante na mungu akubarikiSi ulichagua CCM? Nenda ukawaombe wakusaidie.
asante na baraka ya mungu iwe naweHapa kazi tu
jamani nieleweke vizuri ninalolisema ni kwel kabsa na yeyote atakaekuwa tayari anitafute tu then uthibitisho atauona na nashangaa sana wakati mwenzenu nina shida hala mtu analeta utani au unafikir me nilipenda niwe hv? acha utani kwel nahitaji msaada
Shida yako halafu unasubiri utafutwe..... utasubiri sana.
Mwenye shida angejieleza vyema na kuweka vithibitisho. Hata kwa kuwatumia mods ilikujiridhisha...hapo ungesaidiwa....
Anyway.....endelea kusubiri
Shida yako halafu unasubiri utafutwe..... utasubiri sana.
Mwenye shida angejieleza vyema na kuweka vithibitisho. Hata kwa kuwatumia mods ilikujiridhisha...hapo ungesaidiwa....
Anyway.....endelea kusubiri
basi samahani yeyote atakaekuwa tayari aweke utambulisho wake au mawasiliano then me nitamtafutaShida yako halafu unasubiri utafutwe..... utasubiri sana.
Mwenye shida angejieleza vyema na kuweka vithibitisho. Hata kwa kuwatumia mods ilikujiridhisha...hapo ungesaidiwa....
Anyway.....endelea kusubiri