Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,882
Nipo dsm mkuu na biashara ni dsm ili niweze kusimamiaBe specific, Uko wapi na hyo biashara wawaza kuifanya mkoa gani au eneo lipi ndani ya nchi
Nenda benki ya Waislam mikopo haina ribaMSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU
MAISHA NI MAGUMU ,MSHAHARA HAUTOSHI HALAFU UKITEGEMEA MWANAUME AKUPE HELA HAKUPI KWANZA ANAKUDHARAU ANAKUONA HUNA MAANA.
NIMEFIKIRIA KUANZISHA BIASHARA YA SALUNI YA WANAWAKE LAKINI SINA HELA YOYOTE.
MIMI NI MFANYAKAZI WA KAWAIDA KUTOKANA NA IMANI YANGU SIWEZI KUKOPA MAANA MIKOPO YOTE INA RIBA NA MIKOPO YA RIBA HUWA HAILIPIKI ITAKUWA TU NAFANYIA BENK BIASHARA.
NINAJUA KUNA WATU WANA ROHO NZURI HUMU KWAHIYO NAOMBENI YEYOTE MWENYE KUGUSWA ANISAIDIE MTAJI KIDOGO WA KUANZISHA BIASHARA HII NIPO VIZURI NAJUA ITALIPA
KINACHOTAKIWA NI HELA YA KODI YA NYUMBA MWAKA
3,600,000 TSH
KUNUNUA VIFAA VICHACHE 2,000,000TSH
OPERESHENI ZINGINE ZITAJILIPIA
KAMA MTU ANATAKA PIA KUWA BUSINESS PARTNER ILA AWE NA MILLION TANO ANAKARIBISHWA .
KUTAKUWEPO NA CHAIN YA BIASHARA NYINGI TU ILA TUNAANZIA HAPO
ASANTENI
NIPO DSM
Upo mkoa gani?
Mbona unaoneka ni Kama unaifanya hii biashara
Bei hii ya pango Mbona kubwa sana, ni kama ya godauni!!!
Labda nizae naesasa si bora bro angu akuoe akupe hizo hella kuliko kusaidiana uje ukimbie
Wewe una kiasi gani mkononi?MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU
MAISHA NI MAGUMU ,MSHAHARA HAUTOSHI HALAFU UKITEGEMEA MWANAUME AKUPE HELA HAKUPI KWANZA ANAKUDHARAU ANAKUONA HUNA MAANA.
NIMEFIKIRIA KUANZISHA BIASHARA YA SALUNI YA WANAWAKE LAKINI SINA HELA YOYOTE.
MIMI NI MFANYAKAZI WA KAWAIDA KUTOKANA NA IMANI YANGU SIWEZI KUKOPA MAANA MIKOPO YOTE INA RIBA NA MIKOPO YA RIBA HUWA HAILIPIKI ITAKUWA TU NAFANYIA BENK BIASHARA.
NINAJUA KUNA WATU WANA ROHO NZURI HUMU KWAHIYO NAOMBENI YEYOTE MWENYE KUGUSWA ANISAIDIE MTAJI KIDOGO WA KUANZISHA BIASHARA HII NIPO VIZURI NAJUA ITALIPA
KINACHOTAKIWA NI HELA YA KODI YA NYUMBA MWAKA
3,600,000 TSH
KUNUNUA VIFAA VICHACHE 2,000,000TSH
OPERESHENI ZINGINE ZITAJILIPIA
KAMA MTU ANATAKA PIA KUWA BUSINESS PARTNER ILA AWE NA MILLION TANO ANAKARIBISHWA .
KUTAKUWEPO NA CHAIN YA BIASHARA NYINGI TU ILA TUNAANZIA HAPO
ASANTENI
NIPO DSM
Upo mkoa gani mpaka unashangaa bei hiyo ya pangoUpo mkoa gani?
Mbona unaoneka ni Kama unaifanya hii biashara
Bei hii ya pango Mbona kubwa sana, ni kama ya godauni!!!
Tumia vitega uchumi vilivyokuzunguka kupata mtaji bibie...Msema kweli ni mpenzi wa mungu
Maisha ni magumu, mshahara hautoshi halafu ukitegemea mwanaume akupe hela hakupi kwanza anakudharau anakuona huna maana.
Nimefikiria kuanzisha biashara ya saluni ya wanawake lakini sina hela yoyote.
Mimi ni mfanyakazi wa kawaida kutokana na imani yangu siwezi kukopa maana mikopo yote ina riba na mikopo ya riba huwa hailipiki itakuwa tu nafanyia benk biashara.
Ninajua kuna watu wana roho nzuri humu kwahiyo naombeni yeyote mwenye kuguswa anisaidie mtaji kidogo wa kuanzisha biashara hii nipo vizuri najua italipa
Kinachotakiwa ni hela ya kodi ya nyumba mwaka
3,600,000 Tsh
Kununua vifaa vichache 2,000,000Tsh
Operesheni zingine zitajilipia
Kama mtu anataka pia kuwa business partner ila awe na million tano anakaribishwa.
Kutakuwepo na chain ya biashara nyingi tu ila tunaanzia hapo
Asanteni
Nipo dsm
maisha hayapo hivo wewe kanipa kazi kanipa nyumba nimuombe na mtaji kwani ni mzazi wangu jamani?Yule Boss anayejua siku zako yuko wapi ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yule Boss anayejua siku zako yuko wapi ?
Mhhh hayamaisha hayapo hivo wewe kanipa kazi kanipa nyumba nimuombe na mtaji kwani ni mzazi wangu jamani?