daisyvicky
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 343
- 198
Marhaba !Shikamooni wakuu..hope wote mpo salama.mbarikiwe sana,mimi ni graduate,natafuta mentors especially waliosomea business related courses na ikiwa marketing itakua vizuri zaidi.Pia wenye uzoefu au wamewahi kua walimu WA vyuo..kwa sababu ni moja ya vitu navopenda.
Umri wowote.
Gender yoyote.
Nashukuru sana in advance.
haha mumy..sio Mentor huyuu
Marhaba !
Unatafuta mentor huku MMU umepotea huku kumentor kwao ni kikubwa kubwa watakuumiza!
okey nilifikiri huyu nikasema nikusaidie kumuita, haya huyo mwingine atajileta mwenyewe all the best.
haya bwana mdogo tafuta huyo mentor hususan wa MARKETING!hehe mkuu.nimeona huku kuna watu wengi na nimekuzoea kuliko majukwaa engine..najilinda,I will be safe
thaanx my dia..mekupenda wewe..kwani huezi kua my Mentor?
hope ntampata mkuu.aksante kwa angalizohaya bwana mdogo tafuta huyo mentor hususan wa MARKETING!
mwenzangu nakusoma kizungu kote huku ila mtu kuniomba niwe montor wake sijawahi, kwani ndo nini?
Mie najua mentor mentali yaani zimefyatuka flani hivi chizichizi bange kidogo, mirungi kwa sana na pombe kwa mbaaaliii...............................
Hebu nieleweshe hapo halafui ndo nikupe jibu.
Hahaa haaaa....role model basi!!mwenzangu nakusoma kizungu kote huku ila mtu kuniomba niwe montor wake sijawahi, kwani ndo nini?
Mie najua mentor mentali yaani zimefyatuka flani hivi chizichizi bange kidogo, mirungi kwa sana na pombe kwa mbaaaliii...............................
Hebu nieleweshe hapo halafui ndo nikupe jibu.
haha umenifurahisha mama Mentor ni mtu ambaye anakua kama role model..anakua more experienced kwenye particular field..anakuguide,anakua advisor Wako na kukuambia how things are kwenye field husika.hapo ni kwa ufupi
Hahaa haaaa....role model basi!!
oukey sasa kwa mantiki hiyo mimi sifai wacha waje wenyewe, maana mie naweza kukulisha kasa mbaya hadi ukajistukia umeingie choo cha jinsia ingine. Asante kwa taarifa kumbe kuuliza si ujinga na kweli elimu haina mwisho heheheheheee. All the best
Hahaa haaaa....role model basi!!
hahaha aksante mwaya..hope watapatikana humu ndani.ubarikiwe hata hivo
ntaweza wapi mambo hayo ya role model na mie figa ya role model sina, hapa wanatakiwa wakina miriam odemba, naomi campbell, happiness magese na wanaofanana nao sasa mie ni bantu design ngoja waje bana nsijea nguka stejini bure steji ikavunjika au kuweka ufa. Maana role model pia shurti uvae yale teremka tukaze, very very very high heels wakati mie nimezoea kuparaza na malapa majanga haya kwangu kuntaka ni role model!!
hehe mkuu.nimeona huku kuna watu wengi na nimekuzoea kuliko majukwaa engine..najilinda,I will be safe
kila la kheri mamito..