B Baracah2001 Member Joined Jun 11, 2016 Posts 8 Reaction score 5 Jun 12, 2016 #1 Natafuta mtu mwenye uzoefu na weledi wa kutosha kusimamia biashara zangu tofauti kwa mafanikio ambayo nayaitaji. Kampuni ipo tabora mjini hivyo aweze kukaa tabora Tangazo kama linavyoonekana kenye attachment Attachments BUSINESS MANAGER POST shl.pdf BUSINESS MANAGER POST shl.pdf 97 KB · Views: 141
Natafuta mtu mwenye uzoefu na weledi wa kutosha kusimamia biashara zangu tofauti kwa mafanikio ambayo nayaitaji. Kampuni ipo tabora mjini hivyo aweze kukaa tabora Tangazo kama linavyoonekana kenye attachment
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,731 Jun 12, 2016 #2 Biashara zako zinahusika na nini?
okonkwo jr JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 2,419 Reaction score 1,739 Jun 12, 2016 #3 Usedcountrynewpipo said: Shughuli zako zinahusika na nini? Click to expand... Kilimo cha tumbaku,mihadarati,mirungi na bangi
Usedcountrynewpipo said: Shughuli zako zinahusika na nini? Click to expand... Kilimo cha tumbaku,mihadarati,mirungi na bangi
GTA JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 878 Reaction score 653 Jun 12, 2016 #4 Okay tunakuja mkuu, tutatuma kama ulivyo elekeza kwenye tangazo lenyewe (attached docs.)
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,047 Reaction score 13,177 Jun 12, 2016 #5 Nimesoma attached docs ila mm nitakupm ya kubadilishana mawazo mkuu nimeona kampuni yako ina deal na vitu vingi vizuri
Nimesoma attached docs ila mm nitakupm ya kubadilishana mawazo mkuu nimeona kampuni yako ina deal na vitu vingi vizuri
loketa joshua Member Joined Apr 18, 2014 Posts 16 Reaction score 3 Jun 12, 2016 #6 Tembelea email yako. Pengine watu washa apply.
B Baracah2001 Member Joined Jun 11, 2016 Posts 8 Reaction score 5 Jun 12, 2016 Thread starter #7 Kwenye attachment kuna profile ya kampuni.
B Baracah2001 Member Joined Jun 11, 2016 Posts 8 Reaction score 5 Jun 12, 2016 Thread starter #8 Usedcountrynewpipo said: Biashara zako zinahusika na nini? Click to expand... Biashara zipo kwenye attachment ila in summary ni Bakery,Bucher na Kiwanda cha unga (milling)
Usedcountrynewpipo said: Biashara zako zinahusika na nini? Click to expand... Biashara zipo kwenye attachment ila in summary ni Bakery,Bucher na Kiwanda cha unga (milling)
loketa joshua Member Joined Apr 18, 2014 Posts 16 Reaction score 3 Jun 12, 2016 #9 Tabora maeneo gani mkuu.
B Baracah2001 Member Joined Jun 11, 2016 Posts 8 Reaction score 5 Jun 12, 2016 Thread starter #10 loketa joshua said: Tabora maeneo gani mkuu. Click to expand... Tabora mjimi.
loketa joshua Member Joined Apr 18, 2014 Posts 16 Reaction score 3 Jun 12, 2016 #11 Poa, tembelea email yako , ili nije. Sawa mkuu.
loketa joshua Member Joined Apr 18, 2014 Posts 16 Reaction score 3 Jun 12, 2016 #12 Tembelea email yako mkuu.
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,055 Reaction score 16,509 Jun 12, 2016 #13 Mshahara wako ni kama ngapi unatoa,tupe round figure.
B Baracah2001 Member Joined Jun 11, 2016 Posts 8 Reaction score 5 Jun 18, 2016 Thread starter #14 tang'ana said: Mshahara wako ni kama ngapi unatoa,tupe round figure. Click to expand... Tangazo linasema mshaara negotiable but competitive packages
tang'ana said: Mshahara wako ni kama ngapi unatoa,tupe round figure. Click to expand... Tangazo linasema mshaara negotiable but competitive packages