Natafuta memory card ya simu gb 16 au 32 kwa bei nafuu

Natafuta memory card ya simu gb 16 au 32 kwa bei nafuu

mamsapu

Senior Member
Joined
Apr 22, 2011
Posts
111
Reaction score
25
Habari wana Jf. Kama kichwa kinavyosema natafuta memory card. Mwenye kujua zinapouzwa kwa bei iliyo nafuu nitashukuru.
 
MuWe mnasema mna sh ngapi cyo nafuu tu kila mtu ana unafuu wake jamani
 
Ukisema upo wapi utaelekezwa wapi zinapatikana mathalani ukielekezwa maduka ya Arusha wakati wewe upo Mwanza au Dar itakuaje?
 
Back
Top Bottom