Meli mbovu ni dili zinatumika kukatwa na kusmelt zinayeyushwa kwa ajiliya kutegeneza plate mpya za kuundia meli maana chuma chake ni ghali na kina madini ya chuma ya kutosha ,lakini pia ndani ya meli kuna mageneretor ,piston ,engine vyote hivi ni dili
Yani acha tu Mzee baba, kuna watu nimeshakutana nao wanatafuta Wale wadudu wanaowaka waka Usiku, wakaniambia hata kama nikipata tani 30 wao wananunua, niwaangalia kwa uchungu na sikuwamaliza, nadhani watakua wameshatajirika View attachment 1941978