Natafuta MELI mbovu

Bongo kwa madili aijawai kufeli,meli mbovu ni dili!?
Tangu niachane na ushirikina nimeamua kujikita kwenye biashara zisizojulikana na wengi ana zisizo za kawaida lakini halali na zenye malipo mazuri.. Na baadhi ya wana JF kwasasa wanafaidika nazo mfano
IDO FUEL
Tairi mbovu na mabaki yake
Black carbon powder
Scrap wire
Leeches nknk
 
Ila aisee kuna watu wana madili hata huwezi fikiria, kuna jamaa namfahamu anaenda machinjioni ananunua mboo za ng'ombe, anaziuza huko ughaibuni kwa pesa ndefu sana.
Nasikia wanatengenezea nyuzi,sasa sijafanya utafiti nahisi ni mbadala wa mabondo.
 
Hawa wadudu wanatumika kufanyia nini?
Leeches are effective at increasing blood circulation and breaking up blood clots. It should be no surprise that they can be used to treat circulatory disorders and cardiovascular disease. Chemicals derived from leech saliva have been made into pharmaceutical drugs that can treat: hypertension.

Ni malighafi asili ya kutengeneza madawa ya shinikizo la damu
 
Ila aisee kuna watu wana madili hata huwezi fikiria, kuna jamaa namfahamu anaenda machinjioni ananunua mboo za ng'ombe, anaziuza huko ughaibuni kwa pesa ndefu sana.
Nasikia wanatengenezea nyuzi,sasa sijafanya utafiti nahisi ni mbadala wa mabondo.
Nyuzi za operation na vibamia ni dili sana China.. Niliwahi kufanya maramoja .. Kilo moja iliyokaushwa si chini ya $30
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…