Abel james
Senior Member
- Jun 12, 2014
- 103
- 8
mim naitwa abely,ni mkazi wa iringa,natokea katika familia duni kiuchumi,elimu yangu ni kidato cha sita na nimehitimu mwaka 2013 na kufahuru tuu vizuri ila kutokana na tatizo hilo mwaka jana sikufanikiwa kuendelea na elimu ya juu,ila mwaka huu nilituma maombi kwa ngazi ya diploma ya ualimu na nimefanikiwa kupata chuo,nimechaguliwa mtwara ttc,natafuta mdhamin ambae yupo tayal kunidhamin kwa kipindi chote cha masomo kwa sharti ama kigezo chochote,ili mradi tuu hakiuki haki za binadamu,kwa mdhamin alie tayali tuwasiliane kupitia 0763175935