Yeah... mkuu nimebaki alone, tu hapa. we kuweza?Au sio
Poasasa hivi... inawezekana ila hapa job... umeme umeisha! kwa hiyo bora nilale tu!
Alaf nimekumiss mdogo wangu, nijibu kule basi? Ulichukulia serious kweli?Mimi sipendi kuchat kwanza😹😹nimewaachia watoto wadogo
😹😹kwanini unisemee uongoAlaf nimekumiss mdogo wangu, nijibu kule basi? Ulichukulia serious kweli?
Nilitaka niku-tag kumbe umeshapita😂
Sema kweli sukari ilinipanda si unajua umri nao unasogea mdogo wangu, na u single huu bora nikuoe wewe tu😹😹kwanini unisemee uongo
😹😹yule pisi kwani kumeendajeSema kweli sukari ilinipanda si unajua umri nao unasogea mdogo wangu, na u single huu bora nikuoe wewe tu
Yule bado ninatengeneza mifumo... Yule uhakika.. Itakuwa ngumu ila nitashinda tu.😹😹yule pisi kwani kumeendaje
Kazi.unayo 😹😹😹aisèeeeYule bado ninatengeneza mifumo... Yule uhakika.. Itakuwa ngumu ila nitashinda tu.
Njoo basi nimekumiss sana kwakweli
Aisee na pitia mateso makali ya mapenzi na sichoki wala siachi. Mimi naye mpaka kiama.Kazi.unayo 😹😹😹aisèeee
Hapo inapendeza😍afu mnaendana ujueAisee na pitia mateso makali ya mapenzi na sichoki wala siachi. Mimi naye mpaka kiama.
Really? Tunaendana vipi hebu nielezee vizuri kule sio hapaHapo inapendeza😍afu mnaendana ujue
Naachaje kwa mfano, vitu vyangu hivi!😎Nilitaka niku-tag kumbe umeshapita😂
Unagari
Chati na kijanaNaachaje kwa mfano, vitu vyangu hivi!😎