Natafuta mdada wa kazi mwenye umri wa above 30 ambae atakua na kazi ya kumtunza Mzee. Nitashukuru kama nitapata mtu ambae amewahi kutunza wazee hapo mwanzo.
Utapata eneo la kulala na chakula na mshahara.
Plz nipm kama uko interested ili tuongee zaidi.
Collins