Babu Anganga
Senior Member
- Jun 13, 2009
- 169
- 110
Mimi ni kijana wa kiume mkristo mwenye umri wa miaka 30 ni mtumishi wa serikali. Natafuta mchumba atakayekuwa mke mwema kwangu. Awe kabila lolote Tanzania, dini mkristo dhehebu lolote. Umri miaka 25 hadi 40. Nipo tayari kupima afya. Aliye tayari ani pm.