Kwan Kabila Tu Ndio Kigezo Muhm. Muhm Kusema Dini Yako. Lakini Wewe Mwenyewe Umejiandaa Kuwa Mke Na Mama Watoto? Je,unazijua Sifa Za Mwanamke Anaestahl Kuwa Mke? Kama Uzijui Ni pm Nikupe.

Kwanza usiogope kivuli chako.
Hakuna sehem au mahali palipo weka ukomo wa umri wa kuolewa.
Jipende, jiamini na kwahakika wako wa maisha atakuja pasipo kutaraji