Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,669 Reaction score 167,709 Sep 15, 2015 #21 Raimundo said: Hapo na wewe umecheza ile ile ya "quid pro quo", something for something! Bia kwanza namba baadae! Umepata mama, sema ikufikieje tu. Click to expand... Tukutane kumekucha tupate na mguu wa mbuzi kwa ajili ya kusindikizia maongezi yetu
Raimundo said: Hapo na wewe umecheza ile ile ya "quid pro quo", something for something! Bia kwanza namba baadae! Umepata mama, sema ikufikieje tu. Click to expand... Tukutane kumekucha tupate na mguu wa mbuzi kwa ajili ya kusindikizia maongezi yetu
Nsabhi JF-Expert Member Joined Feb 23, 2011 Posts 1,093 Reaction score 162 Sep 15, 2015 #22 Usiwe mjinga hili ni jukwaa la siasa. Nenda katafute mchumba sehemu nyingine hapa umebugi.
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 Sep 15, 2015 #23 Evelyn Salt said: Tukutane kumekucha tupate na mguu wa mbuzi kwa ajili ya kusindikizia maongezi yetu Click to expand... Kwani kuna maongezi tena! Jamani, hii namba ntaipata kweli, maana naona masharti yanazidi kuongezeka tu.
Evelyn Salt said: Tukutane kumekucha tupate na mguu wa mbuzi kwa ajili ya kusindikizia maongezi yetu Click to expand... Kwani kuna maongezi tena! Jamani, hii namba ntaipata kweli, maana naona masharti yanazidi kuongezeka tu.